Matthew 12:40

40 aKwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi
Nyangumi ni samaki mkubwa sana.
kwa siku tatu, usiku na mchana, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika moyo wa nchi siku tatu, usiku na mchana.
Copyright information for SwhNEN